Vijana mtaani Kibra wapata mafunzo ya teknolojia yalifadhiliwa na shirika la Ujerumani

  • | KBC Video
    1 views

    Vijana katika mtaa wa mabanda wa Kibra wamehamasishwa kuhusu jinsi ya kuendeleza ujuzi, talanta na uwezo wao katika kutatua tatizo la ukosefu wa ajira na changamoto nyinginezo zinazoathiri maisha yao. Mafunzo hayo yalifadhiliwa na shirika moja la kibinafsi ambalo limezindua kituo cha ubunifu katika eneo hilo ambapo vijana wanapokea mafunzo kuhusu utumizi wa teknolojia na kuandaa mkakati wa kushughulikia changamoto zinazokumba wakazi wa eneo la Kibra.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive