Skip to main content
Skip to main content

Kupanda kwa bei ya dhahabu: Je dhahabu ni ulinzi wa utajiri?

  • | BBC Swahili
    5,717 views
    Duration: 1:59
    Kwa muda mrefu sana watu wamekuwa wakiona dhahabu kama njia salama ya kuwekeza fedha, hasa wakati uchumi au hali ya dunia ni tete. Lakini hata hivyo, uwekezaji katika dhahabu nao una hatari zake, si salama kabisa kama inavyodhaniwa. Mariam Mjahid anaelezea #bbcswahili #uchumi #uwekezaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw