- 331 views
Runinga ya Citizen mapema mwaka huu iliangazia taarifa kuhusu masaibu ya Kijiji cha Kapoo kaunti ya Turkana ambako hakuna shule ya chekechea licha ya kuwa na watoto wengi waliofika umri wa kwenda shuleni. Shule hii inayoendeshwa na mwalimu wa kujitolea imekuwa ikiendesha masomo yake chini ya miti. Hata hivyo, miezi saba baadaye, hata mti wa kipekee uliokuwa ukitumika kama darasa umeanguka na kuwaacha wanafunzi hawa wakitatizika.
Watoto wamekuwa wakisomea chini ya mti Kapoo
- 15 May 2025 - Uriri Member of Parliament Mark Nyamita has opined that there is no formidable force in place to remove President William Ruto from office come the 2027 General Election.
- 15 May 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has unveiled his much-anticipated political outfit, the Democracy for the Citizens Party (DCP).
- - Tanzania Vice President Mpango announces retirement to focus on fulfilling father's legacy
- - Court orders State to Gazette Musau, Minayo as media complaints commissioners
- 15 May 2025 - The verdict was delivered after six years.
- 15 May 2025 - The Star has established that Ruto’s speech at Peking University has found its way into the US Senate.
- 15 May 2025 - "For me, South Africa is home. It's a place where my roots and heritage are."
- 15 May 2025 - "We do not have the intention to switch off anyone because there is freedom of expression that is enshrined in the constitution,” Kabogo said.
- 15 May 2025 - The shooting incident happened moments after the former Deputy President launched his political party.
- 15 May 2025 - Police are investigating the killing of a taxi driver, Samuel Mwangi, whose body was discovered in a thicket in Machakos.