Madereva wa magari mjini Garissa waonywa dhidi ya kuendesha magari kwa kasi

  • | Citizen TV
    498 views

    Madereva wa magari mjini Garissa wameonywa dhidi ya kuendesha magari kwa kasi hasa wanapokaribia kwenye taasisi za elimu ili kuhepusha vifo vya wanafunzi.