GHASIA WAKATI WA UZINDUZI WA GACHAGUA

  • | K24 Video
    5,112 views

    Kulitokea vurugu wakati wa uzinduzi uliohudhuriwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, ambapo makundi ya vijana walikabiliana na kusababisha taharuki. Viongozi wamehimizwa kudumisha amani na kuepuka uchochezi wakati wa hafla za kisiasa.