SERIKALI KUGHARAMIA MITIHANI YA KITAIFA, WAZAZI WAPUMUA

  • | K24 Video
    54 views

    Ni afueni kwa wazazi baada ya Hazina ya Kitaifa kutenga bajeti ya kugharamia mitihani mitatu ya kitaifa itakayoanza Oktoba. Serikali pia imetangaza kuanza usajili wa wanafunzi kupitia mfumo mpya wa KEMIS kuanzia tarehe 15 Julai, badala ya NEMIS.