ZIARA ZA RUTO CHINA ZAZUA WASIWASI MAREKANI

  • | K24 Video
    745 views

    Ziara tatu za Rais William Ruto nchini China zimedhihirisha juhudi za kutafuta ufadhili wa miradi ya maendeleo, lakini zimezua hisia mseto huku maseneta wa Marekani wakieleza wasiwasi wao kuhusu makubaliano kati ya Kenya na China. Hata hivyo, wataalamu wa uhusiano wa kimataifa wanasema ushirikiano huu mpya na China unaweza kuiletea Kenya manufaa zaidi.