Wabunge wanawake waandaa kikao Isinya kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    182 views

    Huku serikali inapoendelea kuweka mikakati ya utendakazi baada ya kuungana na chama cha upinzani ODM,wabunge wanawake wanaendeleza kampeni ya amani kuwaomba wananchi kuunga mkono ajenda za serikali ili kuleta maendeleo.