Ziara ya Rais Ruto yahairishwa, ilikuwa ifanyike kuanzia tarehe 21 hadi 23 mwezi huu Ukambani

  • | TV 47
    2,456 views

    Ziara hii ilikuwa ifanyike kuanzia tarehe 21 hadi 23 mwezi huu.

    Ilikuwa inahusisha kaunti za Kitui, Makueni na Machakos.

    Wakazi wanasema hakuna miradi ya maana ya maendeleo.

    Wateta kuhusu mgogoro wa viongozi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __