Kina mama waelimishwa kuhusu umuhimu wa kunyonyesha

  • | Citizen TV
    146 views

    Sherehe ya kimataifa ya Wiki ya kunyonyesha watoto Duniani imeandaliwa leo katika Kituo cha Afya cha Isinya, Kaunti ya Kajiado. Katika hafla iliyohudhuriwa na wataalamu wa afya, kina mama na wanajamii walisisitiza kuhusu jukumu muhimu la unyonyeshaji katika kulea vizazi vyenye afya.