Wakaazi mlima Elgon waandamana kulalamikia kutelekezwa kwa barabara ya eneo hilo

  • | Citizen TV
    190 views

    Wakazi wanaotumia barabara ya Kopsiro Chepyuk eneo Bunge la Mlima Elgon wameandamana hadi katika afisi za KERRA Mjini Bungoma Kulalamikia kutelekezwa kwa barabara ya eneo hilo kwa miaka mingi licha ya kuwa kuna pesa ambazo zimekuwa zikitengwa kwa ajili ya ukarabati wa barabara hiyo.