Viongozi wa Upinzani FDC Uganda wakamatwa baada ya kufanya maandamano
Viongozi wa chama cha FDC nchini Uganda waliandamana kuelekea Ubalozi wa Kenya Jumatatu lakini walikamatwa na vyombo vya ulinzi vya Uganda kabla ya kufikia ubalozini.
akizungumza na vyombo vya habari kabla ya kuandama kwa bunge, meya wa kampala ambaye pia ni mwanachama wa chama cha fdc amelaani kuendelea kushikiliwa kwa wanachama 36 wa fdc wanaoshitakiwa kwa makosa ya ugaidi.
Polisi nchini Uganda walidai mahakamani kwamba kundi hilo lilisafiri, kati ya Julai 22 na 23, 2024, kutoka maeneo mbalimbali ya Uganda hadi Kisumu kutoa au kupokea mafunzo ya kigaidi.
Picha na mwandishi wetu Sadam Muballe, Uganda.
#uganda #kenya #kisumu #fdc #upinzani #meya #kampala #polisi #ugaidi #
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million