Maafisa Nigeria watoa amri ya kutopeperusha bendera ya kigeni
Maafisa wa Nigeria wanasema kupeperusha bendera za kigeni ni “kosa la uhaini” na wametishia kuwafungulia mashtaka wale watakaofanya hivyo baada ya waandamanaji kujitokeza mitaani nchini humo kueleza kero lao dhidi ya uongozi mbovu na kuongezeka kwa ufisadi huku wakipeperusha bendera ya Russia.
Maelfu ya watu wamejitokeza mitaani huko Kano, mji mkuu Abuja, na miji mingine mikubwa wakati wa maandamano kulalamikia hali ngumu ya kiuchumi na uhalifu.
Shirika la Amnesty International limesema watu wasiopungua 13 wameuwawa katika mapambano na polisi tangu kuanza kwa maandamano, ambayo yamepewa jina la “#10DaysOfRage.” Polisi wameeleza idadi ya vifo imefikia 7, wakisema baadhi ya vifo vilikuwa vimesababishwa na ajali mbalimbali na vilipuzi. - (VOA, Reuters)
#nigeria #russia #tinubu #voa
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- The changes will influence how lenders operate.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million
7 Aug 2025
- This comes after women demonstrated complaining of sexual harassment and assault by drunk men.
7 Aug 2025
- In his message of condolence, the head of state described it as a profound loss for the country.
7 Aug 2025
- The Directorate of Criminal Investigations says the apprehended suspects were found in possession of pangas.