- 494 viewsMkaazi wa eneo la ajali ya maporomoko, huko Kiteezi, , ambako kuna dampo la takataka anaeleza kuwa serikali ya Uganda ilikuwa na mpango wa kununua ardhi katika eneo wanaloishi. Namata Jackline, anasema kuwa wao hawakuwa na tatizo la kuondoka katika eneo hilo. "Kwa sababu maendeleo yakija unaondoka, alisema mkaazi huyo. Alisema kuwa pia ni lini serikali itawalipa fidia ili waondokehapo. Lakini anaendelea kusema, "sasa watoto wetu wamefariki ndicho walichotaka..." #uganda #kampala #takataka #dumpo #maporomoko #vifo #polisi #voa #voaswahili
Mkaazi wa Kiteezi anaeleza kile ambacho wao walikuwa wanasubiri
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
- 7 Aug 2025 - A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
- 7 Aug 2025 - Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million
- 7 Aug 2025 - This comes after women demonstrated complaining of sexual harassment and assault by drunk men.
- 7 Aug 2025 - In his message of condolence, the head of state described it as a profound loss for the country.
- 7 Aug 2025 - The Directorate of Criminal Investigations says the apprehended suspects were found in possession of pangas.