- 566 viewsMeya wa Kampala, Elias Lukwago, anaeleza janga hili limetokea kwa sababu ya wale walioweka vikwazo "tulipokuwa tunaelekea katika utekelezaji wa mapendekezo yetu ya kuwa na sera ya kugeuza takataka kuwa nishati ili tuweze kusitisha utupaji takataka katika dampo hili". Vyanzo vya habari vinaeleza dampo la takataka katika eneo hili ambalo linafahamika kama Kiteezi, ambako kwa miongo mingi limekuwa likitupwa takataka zinazo zalishwa mjini Kampala, hadi kugeuka na kuwa mlima, huku wakazi waishio karibu wakilalamika kutokana na taka zenye sumu, pamoja na uharibifu wa mazingira. Polisi wa Uganda walisema Jumapili kuwa idadi ya vifo kutokana janga la maporomoko ya takataka katika dampo hilo mjini Kampala ilifikia 21, wakati timu za uokozi zikiendelea kutafuta manusura na idadi ya miili inayopatikana ikielekea kuongezeka. - Reuters, AP, VOA Picha na Mwandishi wa VOA, Sadam Muballe, Kampala, Uganda. #uganda #kampala #takataka #dumpo #maporomoko #vifo #polisi #voa #voaswahili
Meya aeleza sababu ya kushindwa kusitisha utupaji takataka Kiteezi
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
- 7 Aug 2025 - A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
- 7 Aug 2025 - Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million