Skip to main content
Skip to main content

Je rais wa Madgascar ammekimbia nchi

  • | BBC Swahili
    25,143 views
    Duration: 1:32
    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, anakumbana na tishio la kuondolewa madarakani huku kukiwa na taarifa kwamba amekimbia nchi. Ripoti za awali zinaonyesha kuwa Rajoelina aliondoka Antananarivo kwa ndege ya kijeshi ya Ufaransa. Je amaeelekea wapi na nini kinaendelea Madascar kwa sasa? Sammy Awami anaelezea #bbcswahili #madagascar #AndryRajoelina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw