Mji wa Eldoret umepandishwa hadhi sasa kuwa jiji la 5 nchini

  • | Citizen TV
    625 views

    Haya yakijiri, eldoret sasa limekuwa jiji baada ya kupandishwa hadhi kujiunga na Nairobi, Mombasa, Kisumu na Nakuru. Rais william ruto akiongoza hafla mjini hii Eldoret na kusema kuwa jiji hilo sasa litapata ufadhili wa miundo msingi kulingana na sheria zinazodhibiti miji mikuu kote nchini.