Mkataba wa sekta ya maendeleo endelevu nchini na KNBS

  • | Citizen TV
    225 views

    Sekta ya malengo ya maendeleo endelevu nchini kenya na ofisi ya kitaifa ya takwimu ya kenya (KNBS) wametia saini mkataba wa maelewano ili kuboresha takwimu zinazotumiwa kwa ripoti za malengo ya maendeleo endelevu nchini kenya.