Waathiriwa bonde la ufa watatizika kisaikolojia

  • | Citizen TV
    526 views

    Waathiriwa wa ukosefu wa usalama katika maeneo ya kaskazini mwa bonde la ufa wanakumbana na madhara makubwa ya kisaikolojia kutokana na matukio ya mauaji, kufurushwa makwao, na kupoteza riziki zao