Rais wa zamani Obama azungumzia changamoto zilizopo katika uchaguzi 2024
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama Jumanne aliwatahadharisha Wademokratik kuwa licha ya kuwa “uongozi umekabidhiwa “ kwa Harris, jukumu la Wademokratik bado halijamalizika.
Obama alikuwa mzungumzaji mkuu katika usiku wa pili wa mkutano wa chama huko Chicago. Alitahadharisha dhidi ya kuridhika na hali hii wakati wa uchaguzi wa Novemba na kuwahimiza Wamarekani kupiga kura.
“Msifanye kosa, itakuwa ni mapambano,” Obama alisema. Kwa nguvu zote za ajabu tulizoweza kuzikusanya, Kwa mikutano na ushawishi uliotapakaa, “Huu bado utakuwa uchaguzi wenye ushindani katika nchi iliyo na mgawanyiko.” - AP
#dnc #obama #harris #voa
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- The changes will influence how lenders operate.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million
7 Aug 2025
- This comes after women demonstrated complaining of sexual harassment and assault by drunk men.
7 Aug 2025
- In his message of condolence, the head of state described it as a profound loss for the country.
7 Aug 2025
- The Directorate of Criminal Investigations says the apprehended suspects were found in possession of pangas.