Wakazi wa kijiji cha Busirang’ombe walalamikia uhalifu

  • | Citizen TV
    215 views

    Wakazi wa kijiji cha Busirang’ombe eneo bunge la butula kaunti ya busia wamelalamikia kuongezeka kwa mauaji wakisema kuwa hali hiyo inachangiwa na idadi ndogo ya maafisa wa polisi katika kituo cha bulemia. Katika kisa cha hivi punde, mwanaume mwenye umri wa miaka 58 aliuwawa na mwili wake kuzikwa