Wakaazi kutoka maeneo kadhaa ya Pokot Magharibi wawasilisha malalamishi yao Kamishna wa kaunti

  • | NTV Video
    70 views

    Hali ya taharuki ilitanda Mjini Kapenguria kaunti ya Pokot Magharibi baada ya wakaazi kutoka maeneo kadhaa ya kaunti hiyo kuandaa maandamano ya amani na kuwasilisha malalamishi yao kwa Kamishna wa kaunti na serikali ya kaunti, kile walichotaja kama kutohusishwa katika shughulia za kukodishwa kwa mashamba yao kwa Wawekezaji wa kibinafsi. Hayo yakijiri, Wakulima wa Mahindi katika eneo la North Rift wameelezea Hofu yao ya Kupata hasara kutokana na mvua kubwa inayozidi kushuhudiwa katika maeneo hayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya