Macho yaelekezwa kwa Isaac Mutuma iwapo Gavana Mwangaza atafeli mahakamani

  • | NTV Video
    3,914 views

    Macho yote sasa yameelekezwa kwa Isaac Mutuma, naibu gavana wa kaunti ya Meru, ambaye iwapo gavana kawira mwangaza atafeli mahakamani, anatarajiwa kuchukua uongozi wa kaunti ya Meru kufuatia kutimuliwa kwa bosi wake, Gavana Kawira Mwangaza. Kulingana na katiba ya Kenya, ikiwa afisi ya gavana itakuwa wazi kutokana na kuondolewa madarakani, naibu gavana atachukua nafasi hiyo moja kwa moja kwa muda uliosalia wa muhula huo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya