- 189 viewsZimbabwe imekuwa ikikabiliana na matatizo ya kiuchumi ambayo yamepelekea serikali kubadilisha matumizi ya sarafu kwa mara kadhaa n ahata kuchapisha noti zisizokuwa na thamani kuanzia milioni moja hadi bilioni 100. Nchi hiyo imebadilisha sarafu yake mara sita tangu mwaka 2009. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Matatizo ya kiuchumi yaipelekea Zimbabwe kubadilisha sarafu yake mara sita
- 17 Jul 2025 - U.S. President Donald Trump's tariffs on South Africa could cause around 100,000 job losses, with the agriculture and automotive sectors hardest-hit, central bank governor Lesetja Kganyago said on Wednesday.
- 17 Jul 2025 - Ethiopia has arrested dozens of suspected Islamic State militants, who it claimed have been trained and deployed to carry out operations across the country, the state-affiliated Fana broadcaster reported.
- 17 Jul 2025 - The government is set to review the six-to-six curfew imposed in Kainuk, Turkana, over the last three years to curb the runaway insecurity.
- » 'It wasn't me!' Police officer linked to Rex Masai killing maintains despite video evidence, phone data17 Jul 2025 - IPOA on Wednesday presented evidence that placed the main suspect in the killing of Rex Masai, police officer Isaiah Murangiri, near the scene of the crime.
- 17 Jul 2025 - NCIC has been accused of looking the other way as Ruto allies stoke ethnic tensions. While the commission says it has summoned a few, little action has been taken.
- 16 Jul 2025 - The Ministry of Health is sounding an alarm over consumable products in the market, saying that most of them do not meet the required threshold for proper nutritional content.
- 16 Jul 2025 - Wetlands are disappearing faster than any other ecosystem on Earth, threatening biodiversity, livelihoods, and critical ecosystem services valued at over $39 trillion, according to a new report launched in Nairobi.
- » Drama in court as mothers threaten to undress after Saba Saba protest suspects handed Ksh.100K cash bail16 Jul 2025 - Anguish and desperate cries on Wednesday rent the air outside Thika Law Courts, where 58 suspects stood behind cell gates, agitated after a bail ruling.
- 16 Jul 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has secured orders to preserve a Ksh.50 million school land located in Kitale town due to contested ownership.
- 16 Jul 2025 - The family of James Nayo, a 37-year-old fisherman fatally shot during the Saba Saba demonstrations in Naivasha, is demanding justice following a postmortem that revealed he was shot from behind.