Kamati ya NG-CDF yatetea kuwepo kwa hazina hii

  • | Citizen TV
    104 views

    Wanachama wa kamati ya bunge kuhusu hazina ya ustawi w amaeneo bunge - NG-CDF - wametetea kuwepo kwa hazina hiyo ambayo wanasema kuwa itahakikisha kuwa maendeleo yameafikiwa.