- 185 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA: Ugonjwa wa MPOX unaendelea kuwa tishio la kimataifa
- 6 Aug 2025 - A woman has been found guilty of killing her lover back in 2020 in Nanyuki County.
- 6 Aug 2025 - Human rights activists are calling for the disbandment of the National Police Service (NPS) following damning revelations in the latest EACC corruption index, which ranks the security organ among the most corrupt institutions in the country.
- 6 Aug 2025 - Cabinet Secretary for Public Service Geoffrey Ruku has issued a stern warning to corrupt public officers, calling on the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) to swiftly arrest all individuals implicated in recent graft reports.
- 6 Aug 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has declared his support of the proposal for the United States to review Kenya's designation as a major non-North Atlantic Treaty Organization (NATO) ally.
- 6 Aug 2025 - Six senior officials from the Busia County Government have been arrested over allegations of misappropriating public funds through irregular procurement processes involving tenders worth Ksh.1.4 billion.
- 6 Aug 2025 - In a historic move to combat one of the most common sexually transmitted infections (STIs), the National Health Service (NHS) has launched the world’s first gonorrhoea vaccination programme in England, targeting individuals most at risk of infection.
- 6 Aug 2025 - The government has already threatened to sack police officers and chiefs in some parts of the country.
- 6 Aug 2025 - Ring-necked parrots, green- and yellow-fronted canaries intercepted at Lagos Airport
- 6 Aug 2025 - Nairobi Traffic Commandant Joseph Chirchir said roads near Moi International Sports Complex, Kasarani and Nyayo National Stadium will face full or partial closures to ease movement around the stadium.
- 6 Aug 2025 - Kiambu is among the nine counties that make up the Mount Kenya Bloc.