Walimu wa chama cha KUPPET washikilia mgomo wao utaendelea

  • | Citizen TV
    624 views

    Shughuli za masomo katika shule za upili za umma zitaathirika kwa wiki ya pili, baada ya waalimu wa chama cha KUPPET kushikilia kuwa mgomo wao utaendelea. Uamuzi huu ukiafikiwa baada ya mkutano wa baraza kuu cha chama hicho kufanyika mapema leo. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, KUPPET inalaumu mwajiri wao TSC kwa kukosa nia ya kutatua mgomo huu