Moto wasababisha mlipuko wa mitungi ya gesi Ngara

  • | Citizen TV
    1,608 views

    Zaidi ya biashara 30 zimeathirika na mali ya mamilioni ikiharibiwa kufuatia mlipuko wa gesi uliotokea katika eneo la Ngara hapa Nairobi. Moto ulioanza kwenye hoteli moja eneo hilo ulisambaa kwa kasi na kusababisha mlipuko wa gesi kwenye kituo cha gesi kilichokuwa karibu. Na kama Willy lusige anavyoarifu, japo hakuna mtu aliyejeruhiwa, maeneo kadhaa ya makaazi na hata maeneo ya kuegesha magari yaliteketea