Mtu mmoja awaua kwa kuwakata panga watu wanne Meru

  • | Citizen TV
    1,197 views

    Msiba umegubika kijiji cha Kileeta kaunti ya Meru ambako mwanamume wa makamo aliwaua watu wanne kwa kuwakata kwa panga baada ya kuwafumania wakiwa shambani.