ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI MAENEO YA TANA RIVER

  • | Citizen TV
    103 views

    Miezi minane baada ya kuathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha nchini, maelfu ya waathiriwa wameendelea kuishi kwenye mazingira duni kwenye kambi kadhaa maeneo ya Tana River. Mojawapo ya kambi hizi ni ile ya Bura, ambako waathiriwa wanaishi kwa hali ngumu na sasa wanahofia kuambukiwa magonjwa. Maryanne Nyambura amerejea kutoka Tana River na hii hapa taarifa yake