LALAMA ZA WANAFUNZI RONGO KUFWATIA MFUMO MPYA WA UFADHILI

  • | Citizen TV
    87 views

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo wanaeleza kuwa wengi wao wanatoka katika familia ambazo haziwezi kumudu gharama ya masomo katika chuo kikuu. Sasa wanakosoa serikali wakisema wao hawana uwezo wa kulipa Karo ilhali wamewekwa kwenye bendiya wanafunzi wanaojiweza. Wengi wao sasa wana wasiwasi kuwa huenda wakalazimika kukatiza masomo Yao kufuatia mfumo huo mpya wa ufadhili huku wakiomba idara husika kuingilia kati na kuleta suluhu ya kudumu.......