Mamia ya walimu wa chama cha walimu KUPPET wajitokeza katikati ya mji kutoa malalamishi yao.

  • | Citizen TV
    321 views

    Mamia ya walimu wa chama cha waalimu wa shule za upili KUPPET walijitokeza kati kati ya mji kukitoa malalamishi yao wanayotaka mwajiri wao TSC kuyashughulikia. Walimu hao waliobeba mabango ya kutaka afisa mkuu wa TSC Nancy Macharia kung'atuka mamlakani wameapa kutorejea madarasani hadi pale matakwa yao yatasikizwa. Aidha viongozi wa KUPPET wamewashauri wazazi wote kuwachukua wanafunzi kutoka shuleni hadi pale ambapo serikali itatatua kikamilifu maswala yao.