Wauguzi katika kaunti ya Nyamira waanza mgomo baridi

  • | Citizen TV
    48 views

    Chama cha wauguzi nchini KNUN tawi la Nyamira kimetangaza kuanza mgomo baridi hii leo na kutoa ilani ya mgomo baada ya majuma mawili, kufuatia kucheleweshwa kwa mishahara yao kwa muda wa miezi mitatu sasa.