Wakulima kutoka eneo la Mpeketoni waonywa vikali dhidi ya kutumia dawa zilizoharamishwa na serikali

  • | Citizen TV
    90 views

    Wakulima kutoka eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu wameonywa vikali dhidi ya kutumia dawa zilizoharamishwa na serikali ili kuzalisha mazao yao baada ya serikali kupitia bodi ya kudhibiti kemikali za kuwaua wadudu kuchunguza na kubaini kuwa mazao kutoka kaunti hiyo yana hatari kwa binadamu. Roba Liban anatuarifu zaidi.