Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 16 atoweka Kajiado

  • | Citizen TV
    60 views

    Familia Moja Kutoka eneo la Ilbissil kaunti ya Kajiado inaishi kwa hofu kufuatia kupotea kwa mwana wao mwenye umri wa miaka 16, Kwa njia tatanishi na hadi Leo hajulikani haliko.