Uhaba wa maji wakumba maeneo mbalimbali katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    110 views

    Wakaazi katika kaunti ya Migori wamelazimika kuteka maji mtoni na kwenye visima vichache vilivyosalia huku uhaba wa maji ukikumba Maeneo mbalimbali kufuatia tatizo la kiufundi katika mfumo wa usambazaji maji.