Wanafunzi wa Tana River wapewa hema ili waendelee kusoma

  • | Citizen TV
    69 views

    Ni afueni kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya Makere eneo bunge la Galole, kaunti ya Tana River ambao shule yao ilikumbwa na mafuriko kufanyiwa hisani na wasamaria wema kwa kuwasilisha hema watakazotumia kama madarasa.