NMG kupitia mradi wa magazeti wa NiE wazuru Kisumu katika shule ya msing wa Makini

  • | NTV Video
    435 views

    Kikosi cha Nation Media Group kimezuru kaunti ya kisumu na leo wako katika shule ya msingi ya makini kuimarisha wanafunzi upande wa talanta na kimasomo kupitia mradi wa magazeti shuleni yaani (nie)...hebu tuungane na Judth Cherono, ambaye pia upembeni mwake yupo Hemedi Abdalla ... Judith, kuna mazuri yapi leo mliko?

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya