KEPHIS yaanzisha msako wa kunasa mbegu ghushi

  • | Citizen TV
    259 views

    Shirika la kutathmini ubora wa mimea KEPHIS kwa ushirikiano na idara nyingine za serikali wameanzisha msako wa kunasa wauzaji wa mbegu bandia maeneo ya bonde la ufa na magharibi