Sheria dhabiti zapendekezwa kuundwa ili kukabili ufisadi

  • | Citizen TV
    356 views

    Sheria dhabiti zimependekezwa kuundwa ili kukabili ufisadi unaosababisha ubathirifu wa pesa za umma serikalini.Wakizungumza huko Diani kaunti ya Kwale, vijana wa bunge la vijana la Afrika mashariki wamesema mikakati ya kupunguza matumizi mabaya ya bajeti inafaa kutiliwa mkazo ili mgao mkubwa utumike kwenye miradi ya maendeleo.