Familia ya mwanafunzi wa Pebbles Academy Thika kulilia haki, baada ya mwanao kufariki ghafla shuleni

  • | NTV Video
    339 views

    Familia ya Patrick Bahati Juma mwanafunzi wa Pebbles Academy Thika inalilia haki, baada ya mwanao kufariki ghafla akiwa shuleni, wiki moja iliyopita. Familia hiyo imelaumu shule kwa utepetevu huku wakihisi kwamba kuna jambo fiche kuhusu mazingira aliyofariki kijana huyo mwenye umri wa miaka minane.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya