Waziri Barasa atangaza wanafunzi wanaondelea kupata matibabu ya dharura ili wapate nafuu

  • | NTV Video
    75 views

    Waziri wa afya daktari Deborah Barasa ametangaza kuwa wizara itafanya juu chini ili wanafunzi wanaondelea kupata matibabu ya dharura wasaidike ili wapate nafuu. Akizungumza katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta Barasa alitoa rambi rambi zake kwa familia za wanafunzi wote 17 walioathirika.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya