Uchunguzi wa kina kuhusu mkasa wa moto wa hillside Endarasha Academy.

  • | K24 Video
    124 views

    Kampuni ya kusambaza umeme kenya power imesisitiza kuwa mifumo yao haina haina kasoro yoyote ya kusababisha mkasa wa moto wa hillside Endarasha Academy. Haya yanajiri wakati uchunguzi wa kina unaendelea huku jamii na wazazi waliojawa na huzuni wakipiga kambi nje ya shule hiyo wakisubiri majibu.