Haja ya kuboreshwa kwa huduma za afya ya akili nchini

  • | K24 Video
    19 views

    Kuna haja ya kuboreshwa kwa huduma za afya ya akili nchini kutokana na viwango vya juu vya msongo wa mawazo, hii leo dunia ikiadhimisha siku ya kuzuia kujitoa uhai, wizara ya afya imezindua mwongozo kwa wahudumu afya wa kutibu matatizo ya akili chini ambao unanuiwa kuziba pengo lililopo la kupata matibabu ya afya ya kiakili.