Mzazi mmoja wa shule ya Endarasha amtafuta mwanawe akiamini yuko hai

  • | K24 Video
    70 views

    Hata baada ya serikali kutangaza kuwa wanafunzi wote waliokuwa katika bweni lililoteketea wamepatikana, mzazi mmoja wa shule hiyo anamtafuta mwanawe akiamini yuko hai. Amekaa sako na bako naye akidokeza usimamizi wa shule haujampa ufafanuzi kuhusu alipo mwanawe.