Kocha Mkuu wa klabu Ulinzi Starlets Joseph Wambua ameaga dunia

  • | TV 47
    11 views

    Leo ilikuwa ni siku ya huzuni kubwa kwa wafuasi wa soka nchini baada ya kocha mkuu wa ulinzi starlets, Joseph Wambua Mwanzi, kufariki usiku wa jana baada ya kuugua kwa muda mrefuwambua alikuwa amelazwa hospitalini akipokea matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuiaga dunia. Licha ya hali hiyo, mkufunzi huyu aliweza kuiongoza starlets kushinda kombe la fkf mara tatu mfululizo, na kuibuka kama kocha mwenye mafanikio zaidi katika mashindano haya. Marehemu wambua anakumbukwa kama mtaalamu aliyeweka maisha yake katika maendeleo ya soka la wanawake nchini. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __