Murkomen : Serikali iko tayari kukomesha ujangili maeneo ya Mashariki na Bonde la Ufa

  • | KBC Video
    132 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amesisitiza kujitolea kwa serikali kusaidia maafisa wa usalama kukabiliana na changamoto za kiusalama katika maeneo ya mashariki na bonde la ufa ambayo yanakabiliwa na ujangili na wizi wa mifugo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive