Marion Serenge aahidi kutumia jukwaa la kombe la dunia kuhakikisha anasajiliwa na klabu kubwa Ulaya

  • | Citizen TV
    150 views

    Wing'a mahiri wa timu ya taifa ya wasichana wasiozidi miaka kumi 17, junior starlets, Marion Serenge, ameahidi kwamba atatumia jukwaa la kombe la dunia kuhakikisha anasajiliwa na klabu kubwa barani ulaya. Serenge ambaye yuko kwenye kikosi cha Safaricom chapa dimba kitakachokita kambi uhispania, anasema jukwaaa hilo limewasaidia wengi kugundua talanta zao, huku msimu wa tano wa safaricom chapa dimba ukitarajiwa kuzinduliwa mwezi ujao.