Methali ya Siku : Ujapokosa la mama hata la mbwa huamwa

  • | KBC Video
    12 views

    Methali ya Siku: Ujapokosa la mama hata la mbwa huamwa

    Maana Yake : Ukikosa mbinu au njia mbadala ya kushughulikia hali au jambo fulani,huwa unalazimika kufanya kile kinachoweza kusitiri fedheha

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive