Kitengo maalum cha polisi kubuniwa kuimarisha usalama wa watalii

  • | KBC Video
    12 views

    Wizara ya usalama wa taifa kwa ushirikiano na wizara ya utalii na Huduma ya taifa ya polisi zimetia saini mkataba wa maelewano utakaofanikisha kubuniwa kwa kitengo cha polisi wa utalii ili kuimarisha usalama wa wageni wanaozuru humu nchini.Waziri wa usalama wa taifa Professa Kithure Kindiki aliyezungumza wakati wa kutiwa saini kwa mkataba huo alisema kuwa serikali inajitahidi kuimarisha mapato yanayotokana na ubadilishanaji wa fedha za kigeni kwa kuongeza idadi ya watalii wa kigeni humu nchini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive